John Terry

George John Terry (amezaliwa 7 Desemba 1980) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza. Terry anacheza kama mlinzi na ni nahodha wa Chelsea F.C. katika Ligi kuu ya Uingereza na nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza.

John Terry
Senior career*
MiakaTimuApps(Gls)
1998–Nottingham Forest (loan)22(0)
2000-2017Chelsea Fc342(0)
Timu ya Taifa ya Kandanda
2003Timu ya taifa ya soka ya Uingereza67(6)
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only.
† Appearances (Goals).
John Terry mwaka 2009

Terry alikuwa mchezaji wa Chelsea ya Vijana. Kabla ya kuwa mlinzi huyo alikuwa kiungo katika 1992. Ili aweze kupata uzoefu wa timu ya kwanza, Terry alicheza ka mkopo katika timu ya Nottingham Forest mwaka 2000 hadi 2002, kabla ya kurudi Chelsea F.C..

Chelsea F.C.Edit

Mshindi

  • FA Premier League: 2004-05,2005-2006,2009-2010
  • Kombe la FA: 2007, 2009,2010
  • FA Community Shield: 2005, 2009
  • Football League Cup: 2005, 2007
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Terry kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.