Joja wa Clermont (alifariki Clermont-Ferrand, Akwitania, leo nchini Ufaransa, karne ya 6) alikuwa bikira wa mji huo aliyeishi kama mkaapweke hadi kifo chake[1].

Sifa zake ziliandikwa na Gregori wa Tours aliyeishi miaka katika eneo hilo[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Februari[3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/91386
  2. De Gloria confessorum, XXXIV
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.