Joka wa Komodo
Joka wa Komodo | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Joka wa Komodo (Varanus komodoensis)
| ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
|
Joka wa Komodo (Varanus komodoensis) ni spishi kubwa kushinda mijusi wote. Joka wa Komodo anatokea visiwa vya Komodo, Rinca, Gili Motang na Flores katika Indonesia.
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Joka wa Komodo kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |