Jonis Bascir, pia anajulikana kama Jonis Bashir, ni mwigizaji na mwanamuziki wa Kisomali - mwenye asili ya Kiitaliano .

Jonis Bascir
Jonis Bascir

Maisha binafsi

hariri

Jonis ni mtoto wa Muheddin Hagi Bascir, na alizaliwa huko Roma, Italia manamo 1960. [1] [2] Baba yake ni Msomali na mama yake ni Mwitaliano . [1]

Marejeo

hariri
  1. 1.0 1.1 "Introduzione Agli Studi Postcoloniali" (PDF). Wuming Foundation. Iliwekwa mnamo 3 Februari 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Bambola Ramona ce la fa". TVBlog. Iliwekwa mnamo 3 Februari 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jonis Bascir kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.