Joris Gnagnon
Mchezaji wa ufaransa, Mpira wa miguu, Michezo
Joris Gnagnon (amezaliwa 13 Januari 1997 [1]) ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anacheza kama mlinzi katika klabu ya La Liga Sevilla FC.
Kazi ya klabu
haririRennes
haririAmezaliwa Bondy karibu na Paris, Alicheza mechi Ligue 1ya kwanza mnamo 16 Januari 2016 dhidi ya Troyes AC Alifunga bao lake la kwanza katika Ligue 1 mnamo tarehe 28 Januari 2017 katika Derby Breton dhidi ya Nantes katika dakika ya 86.[2]
Baada ya hapo mnamo tarehe 25 Julai 2018, Gnagnon alijiunga na Sevilla FC ya Hispania kwa mkataba wa miaka mitano.
Marejeo
hariri- ↑ "Acta del Partido celebrado el 12 de diciembre de 2020, en Getafe" [Minutes of the Match held on 12 December 2020, in Getafe] (kwa Kihispania). Royal Spanish Football Federation. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-12-31. Iliwekwa mnamo 31 Desemba 2020.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Rennes vs. Nantes - 28 January 2017 - Soccerway". soccerway.com. Iliwekwa mnamo 29 Januari 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Joris Gnagnon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |