Judith Nneka Chime (alizaliwa Lagos 20 Mei 1978) ni golikipa wa zamani wa timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Nigeria alicheza katika Kombe la Dunia la FIFA la wanawake mwaka 1999 na katika Olimpiki kipindi cha Majira ya joto ya 2000. [1][2][3]

Judith Nneka Chime
Amezaliwa 28 Mei 1978
Lagos Nigeria
Nchi Nigeria
Kazi yake Mchezaji wa mpira wa miguu

Marejeo

hariri
  1. "Judith Chime - Soccer - Scoresway - Results, fixtures, tables and statistics". scoresway.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-10-24. Iliwekwa mnamo 17 Februari 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "BBC SPORT - FOOTBALL - Super Falcons face tough test". bbc.co.uk. Iliwekwa mnamo 17 Februari 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Nigeria Names Olympic Soccer Team". 24 Agosti 2000. Iliwekwa mnamo 17 Februari 2017 – kutoka AllAfrica.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Judith Chime kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.