Juice (kibwagizo)
Juice ni jina la kutaja kibwagizo cha igizo la filamu ya uhalifu iliyotoka mwaka wa 1992, Juice. Kilitolewa mnamo tar. 31 Desemba, 1991 kupitia studio za MCA Records na hasa humu kuna ngoma za hip hop tu. Kibwagizo hiki kilipata mafanikio, kwa kushika #17 kwenye chati za Billboard 200 na #3 kwenye chati za Top R&B Albums na kuingiza vibao vikali ninne kwenye chati "Uptown Anthem", "Juice (Know the Ledge)", "Don't Be Afraid" na "Is It Good to You". Juice ilituzwa hadhi ya dhahabu na RIAA mnamo Machi 4, 1992.
Juice | ||
---|---|---|
Soundtrack ya Wasanii mbalimbali | ||
Imetolewa | Desemba 31, 1991 | |
Imerekodiwa | 1991 | |
Aina | Gangsta rap, West Coast hip hop, hardcore hip hop, horrorcore, R&B | |
Urefu | 54:41 | |
Lebo | MCA/Soul | |
Mtayarishaji | Naughty by Nature, Rakim, Teddy Riley, Ant Banks, Gary G-Wiz, Hank Shocklee, EPMD, Hurby Luv Bug, DJ Muggs, Brand New Heavies |
Makadirio ya kitaalamu | |
---|---|
Tahakiki za ushindi | |
Chanzo | Makadirio |
Allmusic | [Juice (kibwagizo) katika Allmusic link] |
RapReviews | link |
Jedwali hili linahitaji kupanuliwa kwa kutumia Nathari. Tazama mwongozo kwa maelezo zaidi. |
Orodha ya nyimbo
hariri- "Uptown Anthem" – 3:03 (Naughty by Nature)
- "Juice (Know the Ledge)" – 4:00 (Eric B. & Rakim)
- "Is It Good to You" – 4:17 (Teddy Riley & Tammy Lucas)
- "Sex, Money & Murder" – 2:49 (MC Pooh)
- "Nuff Respect" – 2:57 (Big Daddy Kane)
- "So You Want to Be a Gangster" – 4:05 (Too Short)
- "It's Going Down" – 4:12 (EPMD)
- "Don't Be Afraid" – 5:18 (Aaron Hall)
- "He's Gamin' on Ya'" – 3:35 (Salt-n-Pepa)
- "Shoot 'Em Up" – 3:38 (Cypress Hill)
- "Flipside" – 4:24 (Juvenile Committee)
- "What Could Be Better Bitch" – 3:01 (Son of Bazerk)
- "Does Your Man Know About Me" – 5:11 (Rahiem)
- "People Get Ready" – 4:00 (Brand New Heavies & N'Dea Davenport)