Juntoku (22 Oktoba, 11977 Oktoba, 1242) alikuwa mfalme mkuu wa 84 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Morinari, na alikuwa mwana wa tatu wa Tenno Go-Toba. Mwaka wa 1210 alimfuata kaka yake Tsuchimikado, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa 1221. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake Chukyo.

Mchoro wa Juntoku

Angalia pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Juntoku wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.