Kaizari Nerva
Marcus Cocceius Nerva (8 Novemba, 30 – 27 Januari, 98) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 18 Septemba, 96 hadi kifo chake. Alimfuata Domitian.
Picha
hariri-
kraschlandning wa Nerva katika kalkedoni kutoka mkusanyiko binafsi
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kaizari Nerva kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |