Kakorinya ni kasoko ya volkeno yenye kimo cha mita 903 juu ya UB. Volikano hiyo iko kwenye Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki, kaunti ya Turkana, Kenya[1][2].

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. www.volcanolive.com
  2. http://wikimapia.org