Kakuma ni mji wa Kenya, kaunti ya Turkana, katika Bonde la Ufa la Afrika Mashariki.

Kakuma
Nchi Kenya
Kaunti Turkana
Idadi ya wakazi
 - 65,814

Wakazi walikuwa 65,814 wakati wa sensa ya mwaka 2009[1]. Wengi ni wakimbizi.

TanbihiEdit

  1. Sensa ya Kenya 2009, tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.