Kali Ongala
Mwanasoka wa Tanzania
Kali Remmy Mtoro Ongala (amezaliwa London, Uingereza, 30 Agosti 1979), ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchini Tanzania, ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya GIF Sundsvall huko Uswidi (Sweden). Alijiunga na hiyo klabu kutoka klabu ya hukohuko Uswidi mwaka 2007.
Kali Ongala | ||
Maelezo binafsi | ||
---|---|---|
Jina kamili | Kali Ongala | |
Tarehe ya kuzaliwa | 30 Oktoba 1979 | |
Mahala pa kuzaliwa | uingereza, London, Uingereza | |
Urefu | 186 cm / 76 kg | |
Nafasi anayochezea | Katikati | |
Maelezo ya klabu | ||
Klabu ya sasa | GIF Sundsvall | |
Namba | 24 | |
Klabu za ukubwani | ||
Miaka | Klabu | |
2007 | GIF Sundsvall | |
Timu ya taifa | ||
2007 | Tanzania | |
* Magoli alioshinda |
Ongala ni mchezaji mzuri wa katikati ambaye amechezea klabu nyingi sehemu mbalimbali. Katika klabu alizochezea ni Young Africans FC, klabu mashuhuri nchini Tanzania, Kajumulo FC (Tanzania), Seattle Saints (Marekani), Seba United (Jamaika), Bradford City FC (Uingereza), Väsby United (Uswidi), na GIF Sundsvall (Uswidi) kwa sasa.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kali Ongala kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |