Kambarage
ukarasa wa maana wa Wikimedia
Kambarage ni jina lenye asili katika lugha ya Kizanaki kutoka Mkoa wa Mara katika Tanzania Kaskazini-Magharibi. Maana ya jina ni kutaja roho inayoleta mvua,[1]
Imejulikana hasa kutokana na Julius Kambarage Nyerere, mwanasiasa aliyeongoza Tanganyika kufikia uhuru baada ya ukoloni na kuwa rais wa kwanza wa Tanzania.
Jina linatumika kutaja kata za:
- Kambarage, kwenye manisipaa ya Shinyanga, Tanzania
- Kambarage, kwenye Wilaya ya Mbinga, Mkoa wa Ruvuma, Tanzania
Marejeo
hariri- ↑ "Kambarage, the name he was given at birth, means "the spirit which gives rain" in Zanaki because the day he was born a very heavy rain fell." Makala "Nyerere" katika Dictionary of African Christian Biography Archived 6 Septemba 2015 at the Wayback Machine.