Kangundo ni mji wa Kenya katika kaunti ya Machakos.

Wakazi walikuwa 218,557 (pamoja na Tala, ambayo ni sehemu ya halmashauri ya mji) wakati wa sensa ya mwaka 2009[1].

TanbihiEdit

  1. Sensa ya Kenya 2009, tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.