Karai (kutoka neno la Kiarabu; kwa Kiingereza wok, kutoka Kichina cha Canton 鑊) ni chombo cha bati gumu na chenye umbo la duara ambacho kinatumiwa kwenye mapishi mbalimbali kama vile kukaanga sambusa, kitumbua, viazi na vinginevyo.

Karai likitumika kukangia.

Linatumika pia katika ujenzi kubebea mchanga, udongo n.k.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Karai kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.