Karuma
Karuma ni makazi katika Mkoa wa Magharibi huko nchini Uganda.
Mahali
haririKaruma iko katika wilaya ya Kiryandongo, mkoa mdogo wa Bunyoro. Ni takribani kilomita 2.7 (maili 1.7), kwa barabara, kaskazini mwa Maporomoko ya Karuma (Karuma Falls).[1]
Marejeo
hariri- ↑ GFC (6 Januari 2016). "Distance between Karuma, Northern Region, Uganda and Karuma Falls, Kiryandongo, Western Region, Uganda". Globefeed.com (GFC). Iliwekwa mnamo 6 Januari 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Karuma kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |