Kasoko ya Ngorongoro

Kasoko ya Ngorongoro ni kasoko kubwa inayopatikana katika mkoa wa Arusha, kaskazini mwa Tanzania.

Iko mita 1,700 juu ya usawa wa bahari.

Ni kiini cha Hifadhi ya Ngorongoro, ambayo kwa umuhimu wake imeorodheshwa na UNESCO kati ya mahali pa urithi wa dunia.

Mandhari ya kreta ya Ngorongoro.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit