Kate Austin
Mwanahabari wa Marekani/ wakili wa ufeministi/ anarchisti.
Kate Cooper Austin (Julai 25, 1864 – Oktoba 28, 1902)[1] alikuwa mwandishi wa habari, mwanaharakati na mtetezi wa haki za wananawake nchini Marekani.
Catherine Cooper alizaliwa Julai 25, 1864 LaSalle County, Illinois. Austin alihamia na familia yake hadi Hook's Point, Iowa, alipokuwa na umri wa miaka sita.[2][3] Akiwa na umri wa miaka 11, Austin alifiwa na mama yake na ikabidi awalee kaka na dada zake saba.[4] Kwa sababu ya kuwa na maisha magumu, Austin alijifunza kusoma kwani ikawa moja ya burudani zake.
MarejeoEdit
- ↑ Nold, Carl (June–July 1934). "Kate Austin". Man!. http://www.katesharpleylibrary.net/w9gk7h. Retrieved January 20, 2015.
- ↑ AUSTIN, Kate, American journalist.- An Anarchist Witness of the Haymarket Drama. Research on Anarchism. Jalada kutoka ya awali juu ya 2017-08-30. Iliwekwa mnamo March 25, 2006.
- ↑ APINC - Association pour l'Internet Non Commercial - RIP 2001-2016. Jalada kutoka ya awali juu ya 14 February 2006. Iliwekwa mnamo 29 August 2017.
- ↑ Kate Austin. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-03-04. Iliwekwa mnamo 2022-02-26.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kate Austin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |