Kaunti ya Bomet
Kaunti ya Bomet ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.
Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 875,689 katika eneo la km2 2,530.9, msongamano ukiwa hivyo wa watu 346 kwa kilometa mraba[1].
Makao makuu yako Bomet.
Utawala
haririKaunti ya Bomet imegawanywa katika maeneo bunge yafuatayo[2]:
- Bomet East 144,275
- Chepalungu 164,837
- Konoin 163,507
- Sotik 227,855
- Bomet Central 175,215
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
- ↑ http://countytrak.infotrakresearch.com/Bomet-county/
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kaunti ya Bomet kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |