Wilaya ya Bomet ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Bonde la Ufa wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Wilaya ya Bomet
Mahali paWilaya ya Bomet
Mahali paWilaya ya Bomet
Wilaya ya Bomet katika Kenya
Nchi Bendera ya Kenya Kenya
Mji mkuu Bomet
Eneo
 - Jumla 2,037.4 km²
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1])
 - Wakazi kwa ujumla 782,531

Makao makuu yalikuwa mjini Bomet.

Kwa sasa imekuwa kaunti ya Bomet.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Bonde la Ufa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Bomet kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.