Kaunti ya Wajir
(Elekezwa kutoka Kaunti ya wajir)
Kaunti ya Wajir ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.
Kaunti ya Wajir | |||
---|---|---|---|
Kaunti | |||
Uwanja wa ndege wa Wajir | |||
| |||
Wajir County in Kenya.svg Kaunti ya Wajir katika Kenya | |||
Coordinates: 1°44′50″N 40°04′08″E / 1.74722°N 40.0689°E | |||
Nchi | Kenya | ||
Namba | 8 | ||
Ilianzishwa | Tarehe 4 Machi, 2013 | ||
Ilitanguliwa na | Mkoa wa Kaskazini Mashariki | ||
Makao Makuu | Wajir | ||
Miji mingine | Habaswein, Tarba | ||
Gavana | Balozi Mohamed Abdi Mahamud EGH | ||
Naibu wa Gavana | Ahmed Muktar Ali | ||
Seneta | Abdullahi Ibrahim Ali | ||
Mbunge Mwanamke(Bunge la Taifa) | Fatuma Gedi Ali | ||
Bunge la Kaunti | Bunge la Kaunti ya Wajir | ||
Eneo | km2 56 773.1 (sq mi 21 920.2) | ||
Idadi ya watu | 781,263[1]. | ||
Wiani wa idadi ya watu | 14 | ||
Kanda muda | Saa za Afrika Mashariki (UTC+3) | ||
Tovuti | wajir.go.ke |
Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 781,263 katika eneo la km2 56,773.1, msongamano ukiwa hivyo wa watu 14 kwa kilometa mraba[2]..
Makao makuu yako Wajir.
Utawala
haririKaunti ya Wajir imegawanywa katika maeneo yafuatayo[3]:
- Buna 49,886
- Eldas 88,509
- Habaswein 174,134
- Tarbaj 57,232
- Wajir East 110,654
- Wajir North 62,206
- Wajir South 116,814
- Wajir West 121,828
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ www.knbs.or.ke
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-29.
- ↑ "Wadi za uchauguzi Archived 4 Julai 2016 at the Wayback Machine.", Serikali ya Wajir, Ilipatikana 12-04-2018
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-29.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kaunti ya Wajir kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |