Kawira Mwirichia
Kawira Mwiricha (1986 - 2020) [1] alikuwa msanii mwenye ujuzi mbalimbali, mtunzaji wa kazi za sanaa na mtetezi wa ushoga aliyeishi Athi River nchini Kenya. Ni msanii aliyefahamika kimataifa kwa kuchora kanga pamoja, uchoraji na uchongaji.
Maisha ya awali na elimu
haririKawira Mwiricha alipokea shahada yake ya uhandisi wa majengo kutoka Chuo kikuu cha Nairobi (Agosti 2007 – Desemba 2012).[2]
Kupitia Astraea Commslab, Mwirichia alisoma kozi ya mtandaoni ya uanaharakati wa ushoga. Mafunzo yake rasmi ya sanaa yalitoka kwa kozi za grafiki & uundaji wa mtandao katika Taasisi ya Teknolojia ya Juu pamoja na Taasisi ya Mafunzo ya Biashara ya Nairobi.
Alifariki nyumbani kwake na maiti yake ilikutwa tarehe 3 Novemba 2020 katika hali ya kuoza, ilhali aliripotiwa kupotea siku kadhaa kabla ya kukutwa[3].
Marejeo
hariri- ↑ https://www.kuchutimes.com/2020/11/a-bright-light-dimmed-too-soon-celebrating-queer-activist-kawira-mwirichia/
- ↑ "Kawira Mwirichia". The Dots.
- ↑ Sheila Kawira Mwirichia–the founder of “To Revolutionary Type Love” Ilihifadhiwa 12 Februari 2021 kwenye Wayback Machine., tovuti ya Obituary Kenya, tar. 07.11.2020, iliangaliwa Machi 2021
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kawira Mwirichia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |