Kiandagerebinha ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Waandagerebinha mpakani katikati ya majimbo ya Northern Territory na Queensland. Mwaka wa 2005, idadi ya wasemaji wa Kiandagerebinha ilihesabiwa kuwa watu watano tu, yaani lugha iimekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiandagerebinha kiko katika kundi la Kiarandiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiandagerebinha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.