Kiandh ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Waandh. Mwaka wa 2007 idadi ya Waandh imehesabiwa kuwa watu 420,000 lakini 100,000 wao tu huzungumza Kiandh; wengi wanatumia Kimarathi kama lugha yao ya kwanza. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiandh iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiandh kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.