Kimarathi ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wamarathi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimarathi imehesabiwa kuwa watu 71,700,000. Pia kuna wasemaji nchini Morisi na Israel ambao idadi yao haijulikani Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimarathi iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimarathi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.