Kianii ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Benin na Togo inayozungumzwa na Waanii. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kianii nchini Benin imehesabiwa kuwa watu 33,600. Pia kuna wasemaji 12,300 nchini Togo. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kianii iko katika kundi la Kikwa.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kianii kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.