Kibalochi-Mashariki
(Elekezwa kutoka Kibalochi ya Mashariki)
Kibalochi ya Mashariki ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan na Uhindi inayozungumzwa na Wabalochi. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kibalochi ya Mashariki nchini Pakistan imehesabiwa kuwa watu 1,800,000. Pia kuna wasemaji 800 nchini Uhindi (2007). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibalochi ya Mashariki iko katika kundi la Kiiran. Huandikwa na herufi za Kiarabu.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibalochi ya Mashariki kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibalochi ya Mashariki Archived 15 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibalochi ya Mashariki katika Glottolog
- lugha ya Kibalochi ya Mashariki kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibalochi-Mashariki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |