Kibati (Indonesia)
Kibati (pia Kigah) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabati kwenye kisiwa cha Seram. Isichanganywe na lugha ya Kibati izungumzwayo nchini Kamerun. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kibati imehesabiwa kuwa watu 3500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibati iko katika kundi la Kimaluku.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibati kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibati Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kibati katika Glottolog
- lugha ya Kibati kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibati (Indonesia) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |