Kibima
Kibima ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wabima kwenye visiwa vya Sumbawa, Sangeang na Banta. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kibima imehesabiwa kuwa watu 500,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha wa ndani zaidi, Kibima iko katika kundi la Kibima-Lembata.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibima kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibima Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibima katika Glottolog
- lugha ya Kibima kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibima kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |