Kilave (au Kibrao) ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Laos, Kamboja na Vietnam inayozungumzwa na Wabrao. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kibrao nchini Laos imehesabiwa kuwa watu 22,800. Pia kuna wasemaji 9030 nchini Kamboja (2008) na wasemaji 310 nchini Vietnam (1999). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibrao iko katika kundi lake lenyewe la Kibahnariki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibrao kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.