Kibugis
Kibugis ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia na Malaysia inayozungumzwa na Wabugis kwenye kisiwa cha Sulawesi. Wabugis pia wamehamia visiwa vya Kalimantan, Maluku, Papua na Sumatra. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kibugis imehesabiwa kuwa watu milioni tano nchini Indonesia na 17,800 nchini Malaysia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibugis iko katika kundi la Kisulawesi-Kusini.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kibugis kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kibugis Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kibugis katika Glottolog
- lugha ya Kibugis kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kibugis kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |