Kibungu (pia huitwa Kiwungu) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wabungu. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kibungu imehesabiwa kuwa watu 36,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kibungu iko katika kundi la F20.

Mfumo wa Sauti (Fonolojia) hariri

Lugha ya Kibungu ina irabu 7 na konsonanti 23. Pia kuna toni (au mawimbi ya sauti) zinazotofautisha maana ya nomino fulani na nyakati za vitenzi.

Viungo vya nje hariri

Marejeo hariri

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibungu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.