Wabungu
Wabungu ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Songwe, Wilaya ya Songwe.
Wengi wao wanapatikana katika mwambao wa Ziwa Rukwa, na shughuli zao kubwa za kiuchumi ni uvuvi.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wabungu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |