Kichopi ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji inayozungumzwa na Wachopi. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kichopi imehesabiwa kuwa watu 760,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kichopi iko katika kundi la S60.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichopi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.