Kichuwabu ni lugha ya Kibantu nchini Msumbiji inayozungumzwa na Wachuwabu. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kichuwabu imehesabiwa kuwa watu 947,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kichuwabu iko katika kundi la P30.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichuwabu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.