Kidayi
Kidayi ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wadayi katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kidayi 170, na lugha imo hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidayi kiko katika kundi la Kidhuwal.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kidayi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidayi Archived 16 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kidayi katika Glottolog
- lugha ya Kidayi katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidayi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |