Kidhuwal
Kidhuwal ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wadhuwal katika jimbo la Northern Territory. Mwaka wa 2015, kulikuwa na wasemaji wa Kidhuwal 300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidhuwal kiko katika kundi la Kiyolngu.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kidhuwal kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidhuwal Archived 25 Septemba 2021 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kidhuwal katika Glottolog
- lugha ya Kidhuwal katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidhuwal kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |