Kidhangu-Djangu ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wadhangu katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kidhangu-Djangu 270. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidhangu-Djangu kiko katika kundi la Kiyolngu.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidhangu-Djangu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.