Lugha za Kiyolngu
kundi la lugha za Australia eneo la Arnhemland
(Elekezwa kutoka Kiyolngu)
Lugha za Kiyolngu (pia za Kiyuulngu) ni kundi la lugha ndani ya Lugha za Kipama-Nyungan nchini Australia. Katika kundi hilo kuna lahaja nyingi ambazo huainishwa katika lugha sita: Kidhangu-Djangu, Kinhangu, Kidhuwal, Kiritharngu, Kidjinang na Kidjinba. Lugha hizo zote huzungumzwa katika jimbo la Northern Territory na nyingi zimo hatarini mwa kutoweka.
Maneno ya msingi
haririKiyolngu | Kiswahili |
---|---|
Gaga | Habari |
Märr-ŋamathirri | Karibu |
Nhämirri nhe? | Habari yako? |
Ga' | Asante |
Yok | Ndio |
Yaka | Hapana |
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kiyolngu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |