Kiditammari

Lugha ya Gur na Benin na Togo

Kiditammari ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Benin na Togo inayozungumzwa na Waditammari. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kiditammari nchini Benin imehesabiwa kuwa watu 120,000. Pia kuna wasemaji 27,500 nchini Togo. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiditammari iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiditammari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.