Kidjinang ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wadjinang katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kidjinang 210. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidjinang kiko katika kundi la Kiyolngu.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidjinang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.