Kidoe ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wadoe. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kidoe imehesabiwa kuwa watu 24,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kidoe iko katika kundi la G30.

Viungo vya nje hariri

Marejeo hariri

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidoe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.