Wadoe ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Pwani, Wilaya ya Bagamoyo. Lugha yao ni Kidoe.

Kuhusu historia yao inasemekana kwamba Wadoe ni zao la Wanyamwezi, walitokana na vita viliyopigwa kati ya Wakamba na Wamasenga huko pwani. Jeshi la Wanyamwezi likakodiwa kwenda kupigana na baada ya kushinda vita hivyo, walikaa huko na kuzaana na kuunda kabila la Wadoe.

Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wadoe kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.