Kidogon-Jamsay
Kijamsay ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Mali inayozungumzwa na Wadogon. Kufuatana na uainishaji wa lugha wa ndani zaidi, Kijamsay iko katika kundi la Kidogon.
Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kijamsay nchini Mali imehesabiwa kuwa watu 130,000. Pia kuna wasemaji nchini Burkina Faso ambao idadi yao haijulikani.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kijamsay kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kijamsay Ilihifadhiwa 7 Mei 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kijamsay katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/djm
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidogon-Jamsay kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |