Kidotyali
Kidotyali (au Kidoteli) ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Nepal na Uhindi inayozungumzwa na Wadotyali. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kidotyali nchini Nepal imehesabiwa kuwa watu 788,000. Idadi ya wasemaji nchini Uhindi haijulikani lakini ni ndogo. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidotyali iko katika kundi la Kiaryan.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kidotyali kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidotyali Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kidotyali katika Glottolog
- lugha ya Kidotyali kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidotyali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |