Kidyaabugay (au Kidjabugay) ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wadyaabugay katika jimbo la Queensland. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kidyaabugay 28 tu, yaani lugha imo hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidyaabugay kiko katika kundi la Kiyidiny.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidyaabugay kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.