Kieran wa Saighir (pia: Ciaran Mzee; Cleire, karne ya 5 - 530 hivi) alikuwa mmonaki wa Ireland na askofu wa Saighir, Ossory[1].

Mt. Kieran katika dirisha la kanisa.

Anahesabiwa kati ya Mitume kumi na wawili wa Ireland.

Tangu kale anaadhimishwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu, hasa tarehe 5 Machi, sikukuu yake[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

Vyanzo hariri

Marejeo mengine hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.