Kifurushi data

Katika utarakilishi, kifurushi data (kwa Kiingereza: data packet au network packet) ni elementi ya msingi katika urushaji wa taarifa kwenye mtandao. Kwa mfano, kurasa za mtandao na barua pepe zinatumwa kwa ajili ya vifurushi data.

Mchoro wa muundo wa kifurushi data kimoja.

MarejeoEdit

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).