Kutoka kwenye mkusanyiko wa makala za Wikipedia:
... kwamba Waziri Mkuu wa Uingereza ni nafasi ya juu katika nchi inaongoza kwa kujiuzulu mara kwa mara?
... kwamba José Mujica ni rais maskini zaidi duniani? Alikuwa rais wa Uruguay kati ya 2010 hadi 2015.
... kwamba Septemba 1752 ilikosa siku kumi na moja? Katika Dola la Uingereza, ulikuwa mwaka pekee wenye siku 355, kwani Septemba 3-13 zilirukwa wakati Dola lilipopitisha kalenda ya Gregori.
... kwamba Samia Hassan Suluhu ni rais wa kwanza mwanamke Afrika ya Mashariki? Aliapishwa kuwa rais mara baada ya kifo cha mtangulizi wake, John Pombe Magufuli.
|
|