Majadiliano ya kigezo:Je wajua

Latest comment: mwaka 1 uliopita by 196.249.103.254 in topic Lang'sta

Let's discuss first before to change anything.--MwanaharakatiLonga 09:34, 5 Machi 2010 (UTC) Reply

Uchaguzi hariri

  • ... kwamba Ngorongoro imepokelewa katika orodha ya urithi wa dunia ya UNESCO?
  • ... kwamba Asha-Rose Mtengeti Migiro ni mwanasiasa wa kwanza kutoka nchini Tanzania kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa?
  • ... kwamba Avatar ni filamu ya kwanza duniani kwa teknolojia ya juu na ya kwanza kufikisha mauzo zaidi ya bilioni 2?
    Muddy, thanks for the link - changing this, looks like a good idea. i think having an image of them randomly rotating (like Mozart and those people) would make it more lively and covering a couple of topics is probably good in any case. it shouldnt contain red links though. CGN2010 (majadiliano) 16:44, 9 Agosti 2010 (UTC) >>>Reply
  • ... kwamba Ngorongoro imepokelewa katika orodha ya urithi wa dunia ya UNESCO?
  • ... kwamba Asha-Rose Mtengeti Migiro ni mwanasiasa wa kwanza kutoka nchini Tanzania kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa?
  • ... kwamba McDonald Mariga ni mchezaji wa mpira kutoka Kenya ambaye anaichezea kilabu cha Parma.

    some sports person - i have seen there were a lot of article about expartiate african football players in europe and 2008 olympic people (among others from Jamaika, and USA) - all those articles needing someones attention for maintanance etc... CGN2010 (majadiliano) 17:03, 9 Agosti 2010 (UTC)Reply
    Dude, I'm aware about topic with red-link that's why I didn't make it work. If you have few list, please make it and I can help to make them look as it's suppose to be.--MwanaharakatiLonga 17:14, 9 Agosti 2010 (UTC)Reply
    i dont know well about famous sports people, but see Jamii:Wachezaji Mpira nchi kwa nchi if you see someone appropriate. It doesnt need to be sports person, i could also be a Jamii:Filamu za 2009/2010 or a 2009/2010 movie actor, or film director. (I just mean, it might be from a topic other than (nature and politicans) already covered or from a topic that is well covered here on sw.) CGN2010 (majadiliano) 18:16, 9 Agosti 2010 (UTC)Reply
    I like sports, may I suggest Hasheem Thabeet, Didier Drogba, Michael Jordan, Reggie Jackson or David Beckham? --Mr Accountable (majadiliano) 19:35, 9 Agosti 2010 (UTC)Reply
    Mr. Accountable, your request has passed. I will write those articles and add them into the DYK. BTW, this need some time please. It's only a matter of 4 hours from now. Cheers.--MwanaharakatiLonga 07:08, 10 Agosti 2010 (UTC)Reply

    Makala haya yamekaa sana hariri

    Wakabidhi, makala haya yamekaa sana kwa zaidi ya miaka saba. Ninaweza kuwasaidia kwa utafiti pia. Shukran --Trunzep (majadiliano) 06:39, 17 Aprili 2017 (UTC)Reply

    Ni kweli. Mimi pia niliona hilo, lakini sijui la kufanya. Kama wewe uko tayari, jitose kwa niaba yetu. Asante. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:16, 18 Aprili 2017 (UTC)Reply

    Freeman Eikael Mbowe hariri

    Je wajua? Mwanasiasa Freeman Eikael Mbowe, ndiye mwanadiasa aliyeshtakiwa na kutetewa na mawakili wengi zaidi Tanzania? Divine Albert Maguge (majadiliano) 15:10, 20 Februari 2022 (UTC)Reply

    Lang'sta hariri

    Lang'ata ni Kata inayo patikana katika wilaya ya mwanga, Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania. Vijiji vinavyo unda Kata ya Lang'ata ni Lang'ata Bora, Handeni, Kagongo, Nyabinda na Kiti cha mungu. 196.249.103.254 07:20, 3 Julai 2022 (UTC)Reply

    NAMBECHA hariri

    Nambecha-ni kijiji kilichopo katika kata ya mgombasi wiliyani Namtumbo mkoani Ruvuma

  • Return to "Je wajua" page.